Unataka kudhibiti kwa urahisi stock ya vinywaji na mapato kwenye duka lako? πΎπ Katika video hii, nitakuonyesha mfumo mpya na rahisi wa kutumia Excel Sheet kudhibiti bidhaa, mauzo, na mapato kwa ufanisi zaidi. Mfumo huu ni bora kwa wamiliki wa maduka ya vinywaji, grocery, au biashara ndogondogo zinazouza bidhaa za kunywa.
Utaweza kujifunza:
β
Kuweka stock ya vinywaji
β
Kurekodi mauzo na mapato
β
Kujua faida ya kila siku au kila mwezi
β
Kufuatilia bidhaa zinazobaki dukani
β
Kuzuia hasara kutokana na upotevu au makosa ya kihesabu π‘
Tazama hadi mwisho ujifunze jinsi mfumo huu unavyoweza kusaidia biashara yako kukua! Usisahau kusubscribe kwa video nyingine za biashara na teknolojia kwa Kiswahili.
Reviews
There are no reviews yet.