Photoshop

Mafunzo Ya Graphics Design_Adobe Illustrator

MAFUNZO YA ADOBE ILLUSTRATOR Hellow Naitwa Joel Kadaga Creative Designer, baada ya kumaliza shahada yangu ya kwanza niliamua kujikita na kuweka muda wangu wote katika kujifunza masuala ubunifu wa kidijitali (Creative Design). Na hatimaye nikaanza kuandaa kozi mbalimbali na kufundisha jamii juu ya kile nilichojifunza. Karibu katika Mafunzo ya Adobe Illustrator mafunzo haya yatamfaa mtu

Mafunzo Ya Graphics Design_Adobe Illustrator Read More »

Mafunzo Ya Graphics Design_Adobe Photoshop

Hellow!! Naitwa Joel Kadaga Creative Graphics Designer, nina uzoefu wa miaka kadhaa katika kufanya projects mbalimbali binafsi za wateja wangu pamoja na kmapuni mbalimbali, nimewekeza muda wangu mwingi katika kujifunza, kufanya project mbalimbali pamoja na kuandaa mafunzo mbalimbali ili kuwasaidia wengine kujifunza na kukuza career zao. Nakukaribisha katika mafunzo haya ya Adobe Photoshop maalumu kwaajili

Mafunzo Ya Graphics Design_Adobe Photoshop Read More »

Shopping Cart