4.69
(13 Ratings)

Hatua Tano za Kujifunza Graphics Design

Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

About Course

Jinsi ya Kuanza Kujifunza Graphics Design Mambo 5 ya Kuzingatia

Ikiwa unategemea Kuingia au upo katika Career ya Graphics Design ni muhimu kutazama Kozi hii inahusu mambo matano ambayo kama Designer unatakiwa kuyafahamu ili uweze kufanikiwa zaidi katika career. Ikiwa unategemea Kuingia au upo katika Career ya Graphics Design ni muhimu kutazama Kozi hii inahusu mambo matano ambayo kama Designer unatakiwa kuyafahamu ili uweze kufanikiwa zaidi katika career.  

Naitwa Joek Kadaga, Creative Designer Katika Kozi hii Fupi nimezungumzia kwa undani na mifano fasaha mambo ya msingi Matano na mengineyo muhimu sana ili kuweza kufanikiwa na kuepuka panda shuka nyingi ambazo huwa zinawakuta madesigner wengi sana, sababu ambazo huwachelewesha wengi na wakati mwingine kukata tamaa ya kuendelea kupambana katika tasnia Mambo Matano ya Kuzingatia wakati unataka/ unajifunza Graphics Design

Show More

Course Content

UTANGULIZI

  • ii. Ukaribisho wa Mafunzo
    00:53
  • 01. Je unahitaji chuo kwenda kusoma Graphics Design?
    02:09
  • 02. Nini maana ya Graphics design
    04:52
  • 04. Vifaa vya Kuanzia Kujifunza
    03:40

HATUA ZA KUJIFUNZA NA KUFANYA GRAPHICS

HITIMISHO

Student Ratings & Reviews

4.7
Total 13 Ratings
5
10 Ratings
4
2 Ratings
3
1 Rating
2
0 Rating
1
0 Rating
James Mkalula
3 weeks ago
so good
Really amazing
Clement Julius
1 month ago
Well done
Baraka Mhunduka
7 months ago
Good teaching style with simple swahili language
OE
7 months ago
Awesome
HA
7 months ago
its a very good course as it explains everything briefly
JM
8 months ago
very nice course
AS
8 months ago
GOOD
FI
10 months ago
It was amazing lesson, 👏
Shopping Cart

Want to receive push notifications for all major on-site activities?