5.00
(7 Ratings)

Mafunzo Ya Graphics Design_Adobe Illustrator

Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

About Course

MAFUNZO YA ADOBE ILLUSTRATOR

Hellow Naitwa Joel Kadaga Creative Designer, baada ya kumaliza shahada yangu ya kwanza niliamua kujikita na kuweka muda wangu wote katika kujifunza masuala ubunifu wa kidijitali (Creative Design). Na hatimaye nikaanza kuandaa kozi mbalimbali na kufundisha jamii juu ya kile nilichojifunza.

Karibu katika Mafunzo ya Adobe Illustrator mafunzo haya yatamfaa mtu mpya katika Illustrator na design career kwa ujumla utajifunza kuanzia mwanzo mpaka mwisho hatua kwa hatua mpaka utakapojua kuandaa projects zako ndani ya Illustrator Interface.

Adobe Illustrator ni tools ambayo ni vector based software ina nguvu na uwezo mkubwa tunapozungumza (web na print design) kazi kama Logo, Poster, sticker, Business card, Flyers, Book cover, inforgraphics, vector illustration nk.

Show More

Course Content

UTANGULIZI

ADOBE ILLUSTRATOR INTERFACE

ADOBE ILLUSTRATOR TOOLS

TOOLS AND PANNEL PRACTICE

ADOBE ILLUSTRATOR PROJECTS

DESIGN FOR PRINT

ASSIGNMENT

HITIMISHO

Student Ratings & Reviews

5.0
Total 7 Ratings
5
7 Ratings
4
0 Rating
3
0 Rating
2
0 Rating
1
0 Rating
Baraka Mhunduka
1 month ago
Yes excactly!
BM
3 months ago
well, proud of you bro. May God keep you healthy, naenjoy saizi kuwa designer kwani nikiwasha computer najua nini natakiwa kufanya na nini nifanye.
KELVIN EZEKIEL
9 months ago
somo limeeleka now ni mazoezi tu
BAVON KIHAWA
9 months ago
Mr Joel teaching is your profession, nimepata kitu kikubwa sana
SM
11 months ago
Hii course imenisaidia sana kuijua graphic design
EN
1 year ago
Proud to learn through your class
SM
1 year ago
Amaizing lesson never seen anywhere....you won't regret to learn with Mr Joel the great creative designer😘
Shopping Cart

Want to receive push notifications for all major on-site activities?

✕