4.75
(4 Ratings)

Mafunzo Ya Graphics Design_Adobe Photoshop

Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

About Course

Hellow!! Naitwa Joel Kadaga Creative Graphics Designer, nina uzoefu wa miaka kadhaa katika kufanya projects mbalimbali binafsi za wateja wangu pamoja na kmapuni mbalimbali, nimewekeza muda wangu mwingi katika kujifunza, kufanya project mbalimbali pamoja na kuandaa mafunzo mbalimbali ili kuwasaidia wengine kujifunza na kukuza career zao.

Nakukaribisha katika mafunzo haya ya Adobe Photoshop maalumu kwaajili ya beginner au yeyote anayeanza kabisa kujifunza graphics design. Utajifunza jinsi ya kutumia adobe photoshop kuanzia mwanzo mpaka mwisho na baada ya mafunzo haya utakua na uwezo wa kufanya mambo mengi kama designer ndani ya Photoshop interface.

Adobe photoshop ni software mama kwa designer wengi Graphics designer, 3d artist/designer, Motion designer, Web designer, Photographer, videographer nk hivyo ni muhimu sana kujifunza software hii ikiwa upo au unategemea kuingia katika tasnia ya ubunifu wa kidigitali.

Show More

What Will You Learn?

  • Kujifunza basics zote na tools za Photoshop
  • Kutengeneza Projetcs mbalimbali
  • Kuedit picha mbalimbali
  • Kutengeneza Mockups

Course Content

UTANGULIZI

2. COMPUTER YA GRAPHICS

2. ADOBE PHOTOSHOP INTERFACE

3. SELECTION NA KUBADILI BACKGROUND YA PICHA

4. TEXTS, SHAPES & BRUSHES

5. LAYER MASK, BLENDING MODE & BLENDING OPTION

6. ADJUSTMENT LAYER

7.FILTERS

8. SKY REPLACEMENT & CLIPPING MASK

9. MOCKUP DESIGN

10. PROJECT DESIGN

11. FREQUENCY SEPARATION/ PHOTOGRAPHY RETOUCH

12. ADOBE PHOTOSHOP DESIGN PROJECTS

HITIMISHO

Student Ratings & Reviews

4.8
Total 4 Ratings
5
3 Ratings
4
1 Rating
3
0 Rating
2
0 Rating
1
0 Rating
KELVIN EZEKIEL
10 months ago
cors iko vizur na inaeleweka
Daniel Laurence
11 months ago
I have really learn alot enough to be a really graphics designer and gain more experience and i use this opportunity to say thanks to joel kadaga and i appriciate what his doing.
M
1 year ago
Hakika nimeongeza ujuzi nakupata majibu ya maswali niliyokuwa najiuliza mara mara.
NM
1 year ago
Kozi nzuri sana, Imenisaidia Kujfunza vingi sana ambavyo nilikua sijui kabisa
Shopping Cart

Want to receive push notifications for all major on-site activities?