3.50
(2 Ratings)

Mafunzo Ya Graphics Design_Canva Design

Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

About Course

Canva Design ni Online Graphics Design tool inayokuwezesha kudesign Posters, flyers, brochures, bookcover, invoice, certificate, video editing, video intro nk haya yote unaweza kuyafanya kwa kutumia Simu ya mkononi, tablet au Computer huhitaji computer au kifaa chenye uwezo mkubwa

Kozi hii ya Canva Design inamfaa mtu yeyote ambaye anatengeneza maudhui, Mjasiliamali wa kati na madogo, au yeyote ambaye hana uwezo mkubwa katika masuala ya Graphics Design anaweza kutumia tools hii amabayo ni simple pia ni affordable kwa kila mtanzania, unaweza kutumia Free version au Pro Canva Design.

Unaweza kujifunza na kufanya kazi mbalimbali za Graphics Design pamoja na Video editing kwa kutumia Simu, Tablet, Computer nk kwa urahisi kabisa, hauhitaji computer au simu yenye uwezo mkubwa sana kufanya na kutumia software hii unachotakiwa kuwa nacho ni kifaa chako pamoja na internet pekee unaanza kujifunza na kutengeneza kazi ambazo ni dope, ni simple kutumia na inatoa kazi zenye ubora mzuri karibu sana katika kozi hii

Show More

What Will You Learn?

  • Kila Kitu Kuhusu Canva Design Interface
  • Designing Project
  • Editing Video

Course Content

UTANGULIZI

  • 0. MUHIMU: Usipete bila kutazama video hii
    01:53

1. KUHUSU CANVA DESIGN

2. CANVA DESIGN INTERFACE

3. CANVA DESIGN PROJECTS

4. CANVA VIDEO EDITING

HITIMISHO

Student Ratings & Reviews

3.5
Total 2 Ratings
5
0 Rating
4
1 Rating
3
1 Rating
2
0 Rating
1
0 Rating
KK
11 months ago
The course is fruitful and understandable
SR
1 year ago
My course was good and very impressive
Shopping Cart

Want to receive push notifications for all major on-site activities?