4.73
(11 Ratings)

Mafunzo Ya Misingi Ya Design_Graphics Design Fundamentals

Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

About Course

About Course

Kozi ya Misingi ya Graphics Design hasa katika Poster Design

Karibu katika kozi yangu ya Fundamentals of Design (Misingi ya Design), ikiwa ni moja ya hatua muhimu katika kujifunza masuala ya Ubunifu wa kidigitali na Graphics Design kwa ujumla.

 

Ungana nami kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa mfululizo wa video hizi. Katika kozi hii utajifunza misingi ya design ambayo itakusaidia sana kukuza ujuzi wako kwa wewe unayeanza kujifunza masuala ya Creative Design hata kama unauzoefu kozi hii itakusaidia sana kuongeza ujuzi zaidi na kujiamini zaidi.

 

Baada ya kujifunza misingi yote muhimu ya Design utajifunza namna ya kutumia ujuzi uliojifunza kwa kufanya poster kwa kutumia Adobe Illustrator ingawa hata kama huna uelewa wa software hii unaweza kutumia software yoyote ya design.

Ni matumaini yangu makubwa kwamba utapata ujuzi mkubwa baada ya kozi hii, tazama kuanzia mwanzo mpaka mwisho see you next time. Katika kozi hii utajifunza na kufanya projects zote kwa kutumia Adobe Illustrator ingawa haina maana ukiwa na software nyingine hutaweza hapana utaweza kujifunza vizuri

Show More

Course Content

UTANGULIZI

  • Usipite hii bila kutazama
    01:54

MAANA YA GRAPHICS DESIGN

UTANGULIZI WA MAFUNZO

DESIGN PRINCIPLES & VISUAL ELEMENTS

BRAND IDENTITY

PRACTICE PROJECT

HITIMISHO

Student Ratings & Reviews

4.7
Total 11 Ratings
5
12 Ratings
4
2 Ratings
3
1 Rating
2
0 Rating
1
0 Rating
Emmanuel Moruo
7 months ago
To be a good creative designer
ZO
8 months ago
I enjoyed it, stayed bleesed Sir
RE
8 months ago
The lessons were so gud but I need more videos based on project practice...🙏
Benard Mhagama
10 months ago
great course
Imani Gwakabale
10 months ago
Such a useful knowledge, big up Joel
Joel Kadaga
10 months ago
awesome
VICENT MSOPO
12 months ago
course nzuri na inasaidia mtu kujua anachokifanyaa hatua kwa hatua
BAVON KIHAWA
1 year ago
Well and good nimepata kitu kikubwaa
SM
1 year ago
Ni Somo zuri sana limenipa mwanga
Shopping Cart

Want to receive push notifications for all major on-site activities?

Scroll to Top