Mafunzo Ya Motion Graphics_After Effects
About Course
Katika mafunzo haya utajifunza kuanzia mwanzo mpaka mwisho jinsi ya kutumia tools mbalimbali ndani ya Adobe After Effects kutengeneza Motion graphics nzuri na zinazovutia.
Adobe after effects ni 2.5 d programu ambayo inatumika Zaidi katika 2d motion graphics ui na Ux, Ni powerful tool katika kufanya animation ya Logo, Info graphics, Texts animation, Lowerthirds, inatumika sana na Filmkers katika post production
Course Content
UTANGULIZI
-
MUHIMU: Tazama video hii kabla ya kuendelea mbele
01:53 -
01:35