5.00
(1 Rating)

Ultimate Filmmaking Course ( Video Production Course)

Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

About Course

ULTIMATE FILMMAKING COURSE

Ni ukweli usiopingika kwamba watu wanaconsume sana content, kupitia mitandao ya kijamii pamoja na maistream, Videos ni content ambazo zimekuwa na watazamaji wengi zaidi zinatumia mabilioni ya pesa kuzitengeneza na zinazalisha mabilioni ya pesa. Ikiwa unataka kujifunza, unajifunza au unafanya Video content upo katika njia sahihi keep Pushing. Karibu katika kozi yangu ya Filmmaking kwa jina la Ultimate Filmmaking Course,

Hiajalishi umejikita katika content gani Tv content, Youtube content, Social media videos, Wedding, Music videos, Commercials nk unahitaji kuwekeza. Kuwekeza katika ujuzi sahihi na shule sahihi, ndiyo, Uwekezaji kwasababu “huwezi kupata pesa bila kuweka pesa (Invest Money To Get Money)

Ultimate Filmmaking Course ni Kozi maalumu kwa mtu yeyote anayetaka kuanza kufanya Video production, Iwe Commercial, Televison Content, Wedding Videos, Social media videos, family videos, Training Videos nk. Iwe huna uzoefu kabisa na hujawahi kushika camera na kushoot, umejaribu lakini hujafika unapotaka, unajua ila unataka kujiamini zaidi kozi hii ni kwaajili yako.

Kozi hii ya Filmmaking ni kozi ambayo inatolewa Online kupitia website yetu ya (https://joelmediaeducation.com) mafunzo ni kwa njia ya video, Audios, Pdf na image documents unajifunza online pekee kuanzia mwanzo mpaka mwisho. mpaka naandika makala hii Ultimate Filmmaking Course ina zaidi ya Videos 40 zenye masaa zaidi ya Matano (5). yenye maswali, assignment pamoja na guidance mbalimbali.

KWANINI UJIUNGE NA ULTIMATE FILMMAKING COURSE

1. UTAPATA ACCESS YA CONTENT ZOTE ZA VIDEOS
Baada ya kuenroll kupitia kozi hii ya Filmmaking utapa access ya content zote zilizopo kwenye course zenye zaidi ya masaa 5. ambapo tumecover kila kitu unachotakiwa kujua kuhusu Filmmaking. Kuanzia Mambo ya Kuzingatia katika Industry, Camera za video, Camera setting, Scene Composition, Lighting, Audio, Camera Shots, Video Editing na mengine mengi sana. sambamba na hiyo utapata access ya kozi kama Video Editing moja ya kozi yetu yenye zaidi ya masaa 5 ya video za namna ya kuedit videos kwa kutumia Premiere pro kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

2. UTAPATA LIFETIME ACCESS
Ndiyo ukishakua Enrolled kwa kulipia mara moja tu katika Course hii ya ULTIMATE FILMMAKING utapata access ya milele ambayo haitondoka na wakati wote utakaokuwepo kwenye mafunzo tutaendelea kuongeza content nyingi kila mara ili kukuongezea zaidi maarifa na hakuta kua na malipo mengine ya ziada bila kujalisha ubora na kiasi cha content zinazowekwa

3. MFUMO WA MAFUNZO YA ONLINE
Kwa lengo la kuwafikioa wetu wengi zaidi tumeamua kufanya kozi hii online ambapo utajifunza kwa videos na materials zingine tajwa hapo juu utapata nafasi ya kujifunza ukiwa Nyumbani kwako, Chuoni au shuleni, kazini kwako, safarini nk, hivyo hata kama hutaweza kufika chuoni na kujifunza, kusaifiri kumtafuta mwalimu wa kukufundisha Ultimate Filmmaking Course ipo kwaajili ya kukusaidia wewe kusoma bila kujali uko wapi. Kizuri zaidi ni kwamba sio tu kozi hii itakusaidia kupunguza gharama za kujifunza bali itukusaidia kumanage mda na kutumia muda wako vizuri kwa kujifunza muda unaotaka wewe.

4. USIMAMIZI NA USAIDIZI WAKATI WA MAFUNZO
Dhamira yetu ya ni kuhakikisha unafikia malengo yako ya kujifunza na kuwa na uwezo wa kutentengeneza Content nzuri za video baada ya kumaliza kozi hii, hivyo tunahakikisha tunakupa kipaumbele kama timu ya Joel Media kukusaidia kujifunza bila changamoto nyingin na kufanikisha lengo lako. Kupitia community zetu za Facebook na telegram tunahakikisha unafanikiwa kwa kukupa nafasi ya kuuliza maswali na kushare kazi zako sambamba na kukufanyia follow up za mara kwa mara kufahamu changamoto na maendeleo yako kama mwanafunzi wetu, ushirikiano wako ni muhimu.

5. BEI YA KOZI NA THAMANI UNAYOPATA
Kama nilivyoelezwa hapo awali kuhusu dhamira yetu ikiwa ni wewe kama mteja nna mwanafunzi wetu ni kuhakikisha unafikia malengo yako, hata katika gharama ya mafunzo tumejitahidi kuweka bei ambayo ni affordable na fair kwako mpaka sasa naandika makala hii gharama ya kozi ya Ultimate Filmmaking Tsh 300,000 tu. Malipo ya kozi ni mara moja na baada ya malipo hakuna malipo mengine yoyote yatakayohitajika katika kozi hii karibu sana
GHARAMA YA KOZI NI TSH 300,000 TU

6. UHAKIKA WA KURUDISHIWA PESA YAKO

Kwasababu tunajiamini na Content tunazotoa tunakugurantee kukurudishia pesa pale ikiwa hautaridhishwa na mafunzo yetu haya, Money Back Gurantee ndani ya siku Saba (7) Vigezo na masharti kuzingatiwa. Hivyo napenda kukuhakikishia kuwa unaweza kufanya manunuzi bila wasiwasi wowote. Karibu sana

 

 

Wasiliana nasi 0745 152 680

Joel Kadaga
Course Creator
Karibu sana Joel Media

Show More

What Will You Learn?

  • Utajifunza Kila unachotakiwa Kujua ili Kufanya Filmmaking ya Content za video,
  • Hii ni zaidi ya Ultimate Course kwasababu imecover kila unachotakiwa kujua
  • ili kafanya Filmmaking
  • Course Topics
  • Utangulizi wa Mafunzo
  • Mambo ya Kuzingatia katika Filmmaking Industry
  • Camera Gear
  • Camera Setting
  • Filmmaking Composition
  • Filmmaking Lighting
  • Audio and Audio Devices
  • Camera Shots and Movements
  • Video Editing (Premiere pro)
  • Filmmaking Job Shadow
  • FAQ

Course Content

UTANGULIZI

  • Utangulizi wa Mafunzo
    03:03
  • Kwanini Filmmaking Course
    05:52
  • Jiunge na Joel Media Community
    02:42
  • 04. Fanya haya Ili ufanikiwe haraka zaidi
    03:35

1. MAMBO YA KUZINGATIA

2. CAMERA GEAR

3. CAMERA SETTING

4. LENSES AND FOCAL LENGHT

5. FILMMAKING COMPOSITION

6. LIGHTING & LIGHTING TECHNIQUES

7. AUDIO AND AUDIO DEVICES

8. CAMERA SHOTS & MOVEMENTS

9. VIDEO EDITING

10. FILMMAKING JOB SHADOW

11. FREQUENTLY ASKED QUESTION

12. SOCIAL MEDIA VIDEOS

HITIMISHO

Student Ratings & Reviews

5.0
Total 1 Rating
5
1 Rating
4
0 Rating
3
0 Rating
2
0 Rating
1
0 Rating
OE
11 months ago
Moja kati ya Kozi bora nimewahi kukutana nayo katika video production muda si mrefu nitatoa ushuhuda wangu
Shopping Cart

Want to receive push notifications for all major on-site activities?