Je, wewe ni mmiliki wa nyumba za kupangisha na unahitaji mfumo
rahisi wa kusimamia wapangaji, kodi na matumizi? Katika video hii,
nitakuonyesha jinsi ya kutumia Excel Sheet ya Kupangisha Nyumba
kufuatilia mapato, madeni ya kodi, na gharama zingine za biashara yako. 🚀
✅ Faida ya kutumia Excel Sheet hii:
✔️ Kufuatilia malipo ya kodi kwa urahisi
✔️ Kutengeneza ripoti za mapato na matumizi
✔️ Kupunguza makosa ya kihesabu
✔️ Kuokoa muda na kuongeza faida
Reviews
There are no reviews yet.