Digital skills zinazolipa, kwa Kiswahili.
Jifunze hatua kwa hatua, na ujue jinsi ya kugeuza ujuzi wako kuwa kipato. Darasani Ubungo, Dar es Salaam, au online kwa video.
Joel Kadaga
C.E.O & Founder, Joel MediaKwa zaidi ya miaka 5 nimefundisha wanafunzi 2,000+ ujuzi wa kidijitali unaolipa.
Kutoka darasa la sekondari hadi kituo cha digital skills
Mimi ni Joel Kadaga, mwalimu na mwanzilishi wa Joel Media. Kabla ya Joel Media nilikuwa mwalimu wa sekondari, kisha nikaingia kikamilifu kwenye filmmaking na mafunzo ya digital skills.
Leo, Joel Media Education inawasaidia vijana na wafanyabiashara kupata ujuzi wa kidijitali kwa lugha wanayoielewa, na kuutumia kujiajiri, kuajiriwa au kukuza biashara zao.
Ujuzi tunaofundisha
Kozi za vitendo zinazokuandaa kwa kazi halisi na soko la leo.
Computer kwa Wanaoanza
Windows, Word na Excel: msingi wa kila kazi ya ofisi.
Graphic Design
Photoshop, Illustrator na Canva kwa logo, posters na branding.
Video Production
Premiere Pro, CapCut na filmmaking kutoka kupiga hadi kuedit.
Digital Marketing
Facebook, Instagram, TikTok na Google Ads zinazoleta wateja.
Website Design
Tengeneza websites za kisasa kwa WordPress.
AI kwa Kazi na Biashara
Tumia AI kufanya kazi haraka na kuongeza kipato.
Websites na Apps kwa AI
Jenga websites na apps kwa msaada wa AI (Vibe Coding).
Printing, Signage na Branding
Ujuzi wa printing, CNC signage na branding ya biashara.
Kwa nini usome na Joel Media
Kwa Kiswahili
Kila somo linaelezwa kwa lugha unayoielewa vizuri.
Kwa Vitendo
Bootcamp: mwezi 1 wa masomo na miezi 2 ya mazoezi kwa vitendo.
Cheti
Unapata cheti baada ya kumaliza kozi yako.
Darasani au Online
Njoo Ubungo au soma online kwa video, kwa kasi yako.
Msaada Muda Wote
Timu yetu inakusaidia hatua kwa hatua hadi ufanikiwe.
Ujuzi Unaolipa
Tunakufundisha pia jinsi ya kugeuza ujuzi kuwa kipato.
Timu iliyo nyuma ya mafanikio yako
Joel Kadaga
C.E.O & Founder
Festo Kadaga
Operation Manager
Milson Godfrey
Academic Master
Safinia Shemdoe
Design Instructor
Ahazi Mwenda
Content Creator
Vedastus Ramadhan
Machine Operator
Goodluck Maagari
Graphics Designer
Yasin Bakari
Technician
Jifunze bure kila wiki
Tunaweka video mpya za digital skills kwenye YouTube. Subscribe usipitwe, na utufuate kwenye mitandao mingine.
Uko tayari kuanza safari yako ya digital skills?
Chagua kozi leo, au tuandikie WhatsApp tukusaidie kuchagua.
Joel Media · Imesajiliwa BRELA (2022) · Namba ya usajili 509265
