Jiunge na Joel Media Education

Chagua Kozi Yako

Kila kozi inapatikana Darasani (Joel Media Office, Ubungo External, Dar es Salaam) au Online (video tutorials, access ya mwaka 1). Content ni ile ile — tofauti ni namna ya kusoma na bei.

Computer Mastery

Windows · Word · Excel · Internet

Tsh 300,00030 Days · Darasani Ubungo
Jiunge

Graphics Design

Photoshop · Illustrator · InDesign

Tsh 500,000Miezi 3 · Darasani Ubungo
Jiunge

Video Content Creation

Camera · Premiere Pro · After Effects

Tsh 500,000Miezi 3 · Darasani Ubungo
Jiunge

Digital Marketing

Social Media · Content · Ads · AI

Tsh 500,000Miezi 3 · Darasani Ubungo
Jiunge

WordPress Website Design

Domain · Hosting · WordPress · SEO

Tsh 500,000Miezi 3 · Darasani Ubungo
Jiunge

AI Fundamentals

AI Tools · Productivity · Prompting

Tsh 200,000Darasani · Ubungo
Jiunge

AI Website / Vibe Coding

Build Systems & Websites with AI

Tsh 500,000Darasani · Ubungo
Jiunge

Signage & Branding

CNC · Vectric · LED & Neon Signs

Tsh 500,000Mwezi 1 · Darasani Ubungo
Jiunge

Unahitaji msaada kuchagua?

Tupigie au tuandikie WhatsApp — tutakushauri kozi inayokufaa.

Usajili wa Kozi - Enroll Page

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Kozi inachukua muda gani?

Kozi nyingi za Darasani (Bootcamp) zinachukua miezi mitatu: mwezi mmoja wa masomo, kisha miezi miwili ya mazoezi kwa vitendo. Computer Mastery ni siku 30. Kozi za Online unasoma kwa kasi yako, na una access ya mwaka mmoja.

Nitapata cheti?

Ndiyo. Ukimaliza kozi unapata cheti cha Joel Media.

Nalipaje?

Kwa kozi za Darasani (Bootcamp) unaweza kulipa kwa awamu mbili. Kozi za Online zinalipwa mara moja kwa Mobile Money (M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money au HaloPesa) moja kwa moja kwenye website.

Ninasoma vipi baada ya kulipa?

Kuna njia mbili: masomo ya darasani ana kwa ana, au masomo ya online kwa video. Ukilipa kozi ya online, akaunti yako inatengenezwa na kozi inafunguka kwenye dashibodi yako papo hapo.

Kuna tofauti gani kati ya Online na Darasani?

Darasani unahudhuria masomo ana kwa ana na mwalimu. Online unasoma kupitia video za kozi ukiwa popote, kwa simu au kompyuta, kwa kasi yako.

Nisipoelewa, nitapata msaada?

Ndiyo. Timu yetu ipo muda wote kukusaidia hatua kwa hatua mpaka uelewe.

Scroll to Top