Our Courses

Kozi za Graphics Design kwa Kiswahili.

Chagua kozi inayokufaa: darasani Ubungo au online kwa video. Jifunze kwa vitendo, pata cheti, na geuza ujuzi wako kuwa kipato.

Graphics DesignVideo ProductionDigital MarketingWebsite DesignAIComputer

Graphics Design

Mafunzo Ya Graphics Design_Canva Design

Mafunzo Ya Graphics Design_Canva Design

Canva Design ni Online Graphics Design tool inayokuwezesha kudesign Posters, flyers, brochures, bookcover, invoice, certificate, video editing, video intro nk haya yote unaweza kuyafanya kwa kutumia Simu ya mkononi, tablet au Computer huhitaji computer au kifaa chenye uwezo mkubwa Kozi hii ya Canva Design inamfaa mtu yeyote ambaye anatengeneza maudhui, Mjasiliamali wa kati na madogo,

Mafunzo Ya Graphics Design_Canva Design Soma Zaidi »

Mafunzo Ya Graphics Design_Adobe Illustrator

Mafunzo Ya Graphics Design_Adobe Illustrator

MAFUNZO YA ADOBE ILLUSTRATOR Hellow Naitwa Joel Kadaga Creative Designer, baada ya kumaliza shahada yangu ya kwanza niliamua kujikita na kuweka muda wangu wote katika kujifunza masuala ubunifu wa kidijitali (Creative Design). Na hatimaye nikaanza kuandaa kozi mbalimbali na kufundisha jamii juu ya kile nilichojifunza. Karibu katika Mafunzo ya Adobe Illustrator mafunzo haya yatamfaa mtu

Mafunzo Ya Graphics Design_Adobe Illustrator Soma Zaidi »

Mafunzo Ya Graphics Design_Adobe Photoshop

Mafunzo Ya Graphics Design_Adobe Photoshop

Hellow!! Naitwa Joel Kadaga Creative Graphics Designer, nina uzoefu wa miaka kadhaa katika kufanya projects mbalimbali binafsi za wateja wangu pamoja na kmapuni mbalimbali, nimewekeza muda wangu mwingi katika kujifunza, kufanya project mbalimbali pamoja na kuandaa mafunzo mbalimbali ili kuwasaidia wengine kujifunza na kukuza career zao. Nakukaribisha katika mafunzo haya ya Adobe Photoshop maalumu kwaajili

Mafunzo Ya Graphics Design_Adobe Photoshop Soma Zaidi »

Scroll to Top