Our Courses

Kozi za Adobe Photoshop kwa Kiswahili.

Chagua kozi inayokufaa: darasani Ubungo au online kwa video. Jifunze kwa vitendo, pata cheti, na geuza ujuzi wako kuwa kipato.

Graphics DesignVideo ProductionDigital MarketingWebsite DesignAIComputer

Adobe Photoshop

Mafunzo Ya Graphics Design_Adobe Photoshop

Mafunzo Ya Graphics Design_Adobe Photoshop

Hellow!! Naitwa Joel Kadaga Creative Graphics Designer, nina uzoefu wa miaka kadhaa katika kufanya projects mbalimbali binafsi za wateja wangu pamoja na kmapuni mbalimbali, nimewekeza muda wangu mwingi katika kujifunza, kufanya project mbalimbali pamoja na kuandaa mafunzo mbalimbali ili kuwasaidia wengine kujifunza na kukuza career zao. Nakukaribisha katika mafunzo haya ya Adobe Photoshop maalumu kwaajili

Mafunzo Ya Graphics Design_Adobe Photoshop Soma Zaidi »

Scroll to Top