Mafunzo Ya Video Editing_Premiere Pro
Hii ni kozi inayokufundisha namna ya kuedit video kwa kutumia software ya Adobe Premiere Pro kuanzia mwanzo mpaka mwisho Kozi hii inamfaa mtu ambaye ni beginner ambaye hajawahi kuedit video kwa kutumia adobe premiere pro hata yule mwezi ujuzi wa kawaida inaweza kumuongezea maarifa Kozi ipo katika mfumo wa video zipo video zaidi ya 40
Mafunzo Ya Video Editing_Premiere Pro Soma Zaidi »


