Mafunzo Ya Misingi Ya Design_Graphics Design Fundamentals
About Course Kozi ya Misingi ya Graphics Design hasa katika Poster Design Karibu katika kozi yangu ya Fundamentals of Design (Misingi ya Design), ikiwa ni moja ya hatua muhimu katika kujifunza masuala ya Ubunifu wa kidigitali na Graphics Design kwa ujumla. Ungana nami kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa mfululizo wa video hizi. Katika kozi hii […]
Mafunzo Ya Misingi Ya Design_Graphics Design Fundamentals Read More »